Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi Jirani cha Magufuli Bus Terminal Mbezi Luis Dar es Salaam.

Muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi Jirani cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal) kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho kimefunguliwa rasmi jana tarehe 24 Februari 2021 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku,